Skip to Content

Huduma kwa Wateja

Mambo vipi! 👋🏽

Je, unahitaji Msaada? Tutakupigia simu!

Timu yetu ya huduma kwa Wateja iko tayari kukusaidia kwa maswali yoyote. Weka namba yako ya simu na tutakupigia. (Huduma hii hufanya kazi kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 6 usiku siku 7 kwa wiki)

Reach us on

Wasiliana Nasi

Customer Support via WhatsApp

+255 767225222

Customer Service Contact Number

+255 678 222794
+255 769 111811
+255 767 225222

Customer Service Email

[email protected]

Masaa ya kazi 8 am mpaka 12pm.

FAQ

Jinsi ya Kuingia?
  1. Fungua tovuti ya www.bongobongo.co.tz

  2. Weka namba ya simu mfano 0754…….

  3. Weka neno la siri la tarakimu 4.

  4. Kisha Ingia.

Jinsi ya Kuangalia Historia ya Beti (Kasino & Michezo)?
  1. Fungua Website ya BongoBongoTZ

  2. Kisha Ingia.

  3. Fungua “AKAUNTI YANGU”

  4. Chagua ( “DAU ZA KASINO/MIKEKA YANGU”).

Jinsi ya Kucheza Kasino?
  1. Kucheza kasino, weka pesa kwanza kianzio cha shilingi mia(100) na kuendelea kisha.

  2. chagua mchezo utakaopendelea kucheza. Utakutana na chaguzi mbili CHEZA BURE na CHEZA SASA.

  3. CHEZA BURE ni cha kujifunza tu. CHEZA SASA ndipo unaweza kubashiri kwa kutumia pesa halisi.

Jinsi ya Kucheza Michezo?

Kucheza kwenye ukurasa wa MICHEZO. Weka machaguo yako na dau utakalopendelea kuanzia shilingi 1, kisha weka mkeka.

Jinsi ya Kupakua Aplikesheni?
  1. Ukishaingia kwenye tovuti yetu www.bongobongo.co.tz

  2. angalia mwisho wa ukurasa wetu wa bongobongo, neno Android app, bonyeza pakifunguka angalia picha yenye neno pakua bure

Jinsi ya Kupata Password Mpya

1. Kupata neno jipya la siri. Ukishafungua website yetu bonyeza INGIA, kisha jaza namba yako ya simu uliyoisajili.
2. Sehemu ya password usijaze iache wazi kwa chini kidogo kuna maandishi yameandikwa SMS OTP bonyeza.
3. Utaletewa viboksi vinne na utatumiwa ujumbe mfupi wenye namba za siri mpya kutoka BONGOBONGO.
4. Jaza namba hizo kwenye hivyo viboksi vinne ulivyo onyeshwa kisha badilisha namba ya siri mpya ambayo hautoisahau.
5. Ikiwa hujaiona meseji, Ingia sehemu za MESEJI ya SIMU yako, kisha bonyeza kitufe cha kutafuta.
6. Andika neno BongoBongo utaona ujumbe wote uliotumiwa na BongoBongo.
7. Kisha chagua meseji ya JUU (KWANZA) iliyoingia itakua na namba ya siri mpya yenye Tarakimu 4.