Jinsi ya kuweka pesa BongoBongo Tanzania
Unaweza kuweka pesa kupitia mtandao wa VODACOM, Yas (zamani Tigo), au moja kwa moja katika tovuti yetu (Airtel).
Jinsi ya kuweka pesa kupitia VODACOM
Bofya *150*00#.
Chagua namba 4 (Lipa kwa M-Pesa).
Chagua namba 4 (Ingiza Namba ya Kampuni).
Ingiza namba ya kampuni: 991111 (BongoBongo).
Ingiza kumbukumbu namba 1234 (Andika namba/jina lolote).
Ingiza kiasi unachotaka kuweka.
Ingiza namba ya siri.
Chagua 1 kuthibitisha muamala.
Unaweza kutozwa Ada ya muamala.
Kima cha chini cha pesa unayoweza kuweka ni TZS 100.
Jinsi ya kuweka pesa kupitia Yas (Tigo)
Bofya *150*01#.
Chagua namba 4 (Lipa Bili ).
Chagua namba 3 (Ingiza namba ya kampuni).
Ingiza kumbukumbu namba 1234.
Ingiza kumbukumbu namba (Andika namba/jina lolote).
Ingiza kiasi unachotaka kuweka.
Ingiza namba ya siri.
Unaweza kutozwa Ada ya muamala.
Kima cha chini cha pesa unayoweza kuweka ni TZS 100.
Jinsi ya kuweka pesa kupitia Tovuti yetu
Ingia kwenye akaunti yako ya Bongobongo.
Chagua Neno Weka Pesa kutoka kwenye Menyu Juu.
Ingiza kiasi unachotaka kuweka (Kima cha chini TZS 100).
Bofya Weka Pesa.
Utapokea ujumbe kwenye simu yako, kisha utaingiza neno la siri la M-Pesa, Airtel Money, au Mixx by Yas.
Utapokea ujumbe kwenye simu yako kutoka Bongobongo na M-Pesa, Airtel Money, au Mixx by Yas.
Umefanikiwa! Angalia kama salio limeingia kwenye akaunti yako ya Bongobongo.
Je, unahitaji msaada?
Ikiwa utakumbana na changamoto yoyote wakati wa kuweka pesa, timu yetu ya huduma kwa wateja iko tayari kukusaidia. Wasiliana nasi kupitia WhatsApp, Facebook, barua pepe, au tupigie simu.